Tukumbushane kuhusu Yondo sister jamani.

Tukumbushane kuhusu Yondo sister jamani.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Habarini wana jf, natumai niwazima.

Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke pekee aliefanya muziki kipindi kile na kuvuma sana.

Nasikiaga alikuja bongo kupiga shoo naomba watu walio kuwepo au kusikia stori zake jamani, tusimuliane.

Kwa ufupi i still admire her.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom