Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Wimbo wako pendwa wa Kidogo by diamond platnumz umeingia katika list ya nyimbo 10 bora kabisa Africa kupitia mtandao mkubwa wa nyimbo kubwa Africa zinazofanya vizuri kwa sasa wa ROGMusicAfrica.