SERIES MFANO WA IRIS

Jick

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
1,320
2,026
Habari za Boxing day wadau wa Korean Drama

Kwa muda mrefu nmekuwa mfatiliaji wa series.

Lakini sijapata kuona series nzuri kama Iris.

Kwa mantiki hiyo naomba kama unaifahamu series yenye Action na inayoakisi mazingira ya sasa(ya ki mjini mjini) mithili ya Iris, yenye kutumia akili nyiñgi kama Hidden Identity a share atuwekee short detail kwenye Uzi huu.

ANGALIZO, Series nazozungumzia hapa SI zile za mapanga (Emperors Drama)

Nawakilisha.
 
Ipo muendelezo wa Iris sema nimeisahau ngoja niichek hapa. ..
Mrejesho ....Inaitwa Athena.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom