Diamond katoa video mbaya na Neyo

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
hii video siyo ya kimataifa ni video local sana kwakweli haijavutia ajipange
 
Kuna sehemu hakuna mng'ao ambao hata nicklas anaweza ng'arisha. Location nzuri ila baadhi ya shot haziko pouwa kabisa
 
Back
Top Bottom