Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari! Kama kichwa cha habari kinavyouliza, mziki huu wa singeli ulikuja kwa kasi ya ajabu na kuna watu walidiriki kusema sasa huu ndo mziki utakaodumu muda mrefu, kwamba ndio aina ya muziki mpya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hadithi NINGEJUA 1 Mtunzi Christopher Adamu Kibona Mahali Iringa, Tanzania WhatsApp 0752773513/0683376813 Sehemu ya kwanza "We mtoto embu amka, kulala gani huko mpaka saizi ?". Ilikua ni...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jacob Steven a.k.a JB amesema filamu yao mpya ya KUMEKUCHA TUNU iliyoigizwa na mastaa wengi akiwpo na JB mwenyew ni ya kipekee tofauti na hizi zingine za bongo...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Utamu ni ngoma ya Dully Imetoka 2012 lakini bwana mmoja huko india ameitolea remix yake 2015 mwenyewe amejieleza kwenye maelezo ya video yake huko youtube video yenyewe hii hapa chini Lakini...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Unaringa una nini kijuso vijimeno kaa jini Punguza kelele.mama kelele Ni baadhi ya maneno nimeyasikia kwenye huu wimbo Naombeni jina wakuu la huu wimbo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ukilinganisha na machanel mangine ambazo ni kongwe hapa tanzania hakuna kama tv-e kwa vitu kama -graphics zuri..kiasi kwamba hata video mbaya utaiona kali. - sound ipo vizuri sana ..yaan kama...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Najitokeza kuomba msaada wakupatiwa nyimbo zifuatazo,maana kwamsaada wa google imeshindikana. Mwenye nazo au ukiwa na mmoja kati ya huo naomba unipatie tafadhali 1. CCM ni ile ile 2...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mabishano kati ya sinza na Tabata ni wapi panabamba kwa starehe Kwa hapo awali wengi wanasema ilikuwa sinza lakini kwa sasa tabata imechukuwa nafasi...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Siku chache tangu Mwanadada Hoyce Temu anyakue taji la Miss Tanzania, mwaka 1999, Emmanuel Nkulila alitoa wimbo wa Tanzania Nzima Hakuna Mrembo kama Wewe. Stori zilizo zagaa...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Ohh, how about a round of applause Yeah, standing ovation Oooh ohh yeah, yeah yeah yeah yeah You look so dumb right now Standing outside my house Trying to apologize You're so ugly when you cry...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi Bongo movie ipo katika ubora wake, Dar 2 Lagos ndio movie iliyonivutia haswa na kufanya nishawishike kuinunua na inabaki movie pekee ya kibongo kuinunua. Je wewe ni movie gani kutoka...
7 Reactions
65 Replies
19K Views
SABABU ZILIZONIFANYA NISIANGALIE BONGO MOVIE TENA!!. 1.Wachawi wanakamatwa na Mgambo. 2.Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu 3.Jini anavuka barabara anaangalia kulia na kushoto...
13 Reactions
22 Replies
3K Views
[Verse 1] Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Hii nyimbo imeimbwa na kutengenezwa na wanafunzi wa UDOM College of Informatics and Virtual Education(CIVE)
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Dj Khaled amezidi kuipa nguvu albamu yake mpya ‘Grateful’. Rapper huyo ameamua kuwaongeza mastaa wengine wawili, katika albamu hiyo, wakiwemo muimbaji Rihanna na Rapper Nas. Khaled amesema...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Msanii anaitwa Nkunda star nimetokea kuipenda hii nyimbo japo sijui kisukuma jamaa kajitahidi sio mbaya sana ila kama katukana mfyuuuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ngoma inaenda kumweka harmonize pamoja na richi mavoko kwenye level nyingne kabisa, ni bonge moja la ngoma...hongereni sana wasafi kwa hiki chakula bora kabisa cha maskio mliotupa shabiki...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Harakati Zipi Zifanyike Ili Kuokoa Kuzama Kwa Jahazi Bongo Movie??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom