Tv-E ni bonge la channel huwa naburudika sana nikiangalia

Lipia 23,000 kuna Channel inaitwa BOX AFRICA ni noooouma kwa R&B and HIP HOP
 
daa8b0d9ca7674aaf520b48551482dda.jpg
 
Lipia 23,000 kuna Channel inaitwa BOX AFRICA ni noooouma kwa R&B and HIP HOP
Kwa hakika hap Tanzania hakuna Tv yenye graphics nzuri kama Tv E. Zile grapics sio za nchi hii.

Mimi kwenye Dstv chaneli za muziki nazopenda hua ni Box Africa, Trace, Mtv na Tv E.

Tv E kwa Tanzania sijawahi kuona.
 
Miziki mwanzo mwisho wanashindwa hata kuweka movie au katuni,

Miziki yenyewe ni ile ile yani wanaizungusha tu cd,

Bongo oldies hahaha sijui Dully sykes alitoa hongo maana tumemkinai na hiyo Bijouu yake.
 
Ukilinganisha na machanel mangine ambazo ni kongwe hapa tanzania hakuna kama tv-e kwa vitu kama
-graphics zuri..kiasi kwamba hata video mbaya utaiona kali.
- sound ipo vizuri sana ..yaan kama unaangakia super sport vile
kwakupga muzkitu
 
Back
Top Bottom