Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
SABABU ZILIZONIFANYA NISIANGALIE BONGO MOVIE TENA!!.
1.Wachawi wanakamatwa na Mgambo.
2.Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu
3.Jini anavuka barabara anaangalia kulia na kushoto anaangalia usalama kwanza
4.Risasi inachukua Dakika kumfiki mpigwaji
5.Mtu yupo na kimwana wake supermarket wanachukua nusu saa nzima wakati movie ina saa moja na nusu
6.Mtu akipigwa ngumi anaangalia pakuangukia kwa usalama wake(kwenye kocha)
7.Milio ya Risasi kama unawasha njiti za kiberiti
8.Kahaba lazima avute sigara
9.Jambazi lazima livae koti refu na miwani meusi
10.Mganga wa kienyeji lazima awe porini,mchafu,halafu anaongea kwa ukali!
11.Kwenye subtitle mgeni anaitwa New People
12.Hospitalini wapo wao tu.
13.Jambazi anavua viatu akavamia kwenye nyumba.
14.Mtanga na Serengo lazima wawe walinzi
15.Jini lazima awe mwanamke.
16.JB anavaa shati moja kwenye movie sita.
17.Tukio linaonywshwa lilitokea mwaka 1977 halafu ukutani kuna picha ya Rais wa sasa Magu.
18.Familia ya kitajiri lazima waongee kizungu Dadii!!..Mamii!!
19.Tajiri lazima amuoe maskini.
20.Gereza ni nyumba ya mtu yenye madirisha ya chuma..
21.Kila anayetoa habari za maisha yake ya nyuma lazima anyanyue uso juu.
22.Mapenzi yanaanza pale mwanamke anapoaribikiwa na gari afu mwanaume anatokea kusaidia.
23.Mlinzi wa getini lazima awe hana akili nzuri.
24.Kitu pekee kinachoharibika ni Glass tu.
25.jambazi laziwa awe na sura mbaya na awe ananuna muda wote.
26.Movie inaanza mtoto mweusi tii kichwani kipilipili cha nguvu, akiwa mkubwa ni mweupe na nywele za kiarabu.
Mkizuia za nje mtuwekee tu Bunge live tuone vituko vya kina msukuma.