Bongo Movie ipi ilikuvutia enzi za Ubora wake?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,334
Reaction score
68,404
Kipindi Bongo movie ipo katika ubora wake, Dar 2 Lagos ndio movie iliyonivutia haswa na kufanya nishawishike kuinunua na inabaki movie pekee ya kibongo kuinunua.
kanumba7.jpg

Je wewe ni movie gani kutoka Bongo ilikuvutia?
 
Mi siikumbuki jina ila ni ile ambayo majambazi yanavamia nyumba kuiba lakini yanavua viatu nje... afu mbele kidogo kuna jini likawa linamfukuza mtu, lilipozidiwa speed likakodi bodaboda.

Bongo movie si za kispotispoti... maana hata walinzi getini lazima wawe bongo za kichina zilizochanganyika na za kiTaiwan.
 
Tehteh.. ama kweli HAUJARIBIWI
 
Ha ha ha ha ha.......mkuu mbavu zangu zinauma......hii ni kweli au umetengeneza scene Mkuu?
 
Loreta ,Swaiba za Richie M,Bado natafuta ya Gabo, Chausiku...Devil kingdom na nyng nyngnezo za Steve K.
Btw kwa wasanii maarufu Adam Kuambiana,Steve Kanumba ,Jb na Gabo wapo vizur sana.
Richie mtunz au scripter mzur.
Lastly Kwa ujumla movie za Tz zpo nyuma kiteknolojia, subtitles,scripts,locations,na characters,na dialogues . All the best to them
 
Back
Top Bottom