LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,696
Siku chache tangu Mwanadada Hoyce Temu anyakue taji la Miss Tanzania, mwaka 1999, Emmanuel Nkulila alitoa wimbo wa Tanzania Nzima Hakuna Mrembo kama Wewe. Stori zilizo zagaa mitaani kipindi hicho zilikuwa Nkulila na Hoyce were an item and the song was a special dedication to her as Hoyce and not as Miss Tanzania . Na nyie mlisikia kama nilivyo sikia mimi ? The song was so so nice!
Usikilize hapa : http://www.youtube.com/watch?v=5Q_YQTGjUSo
Usikilize hapa : http://www.youtube.com/watch?v=5Q_YQTGjUSo