Nilichofahamu kuhusu video ya harmonize niambie

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,606

[Verse 1]
Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah

[Hook/Chorus]
oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende

Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie
Vipi unanipenda ningali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho

[Verse 2]
Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba
Vipi nikija Tunda oooooh oooh
Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga oooh oooh

[Hook/Chorus]
Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende

Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho

Umenipendea!!!! kipi mama,(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo
#############################
%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
VIDEO HAIAKISI/HAVIENDANI NA MASHAIRI.....MASHAIRI YANAONYESHA YEYE NI FUKARA MASIKINI...Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah.....
......oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande......
.....Vipi unanipenda ingali sina doo.....
JAMAA KAJIVIKA TASWIRA YA UFUKARA MASIKINI LAKINI VIDEO MWANZO MWISHO NI MTU WA BATA TEA KACHANUA KANEEMEKA KILA KONA TAJIRI FULANI IVI AMAZING....AIJUI ALAUMIWE NANI HARMONIZE AMA DIRECTOR WAKE WA VIDEO.......NAFIKIRI NA NINAAMINI KTK ILE YA MATATIZO HASA ULE NDIO UHALISIA YAN VINAENDANA..NI MIMI NA FIKRA ZANGU.
 
kwani mzee hujawai ona video ile iliitwa 'mwana' kilicho imbwa ni mambo ya Daresalama, video ikachukuliwa jo'berg South Africa na ilikuwa ya ajabu ajabu tu.

all in all haya mambo yapo nadhan ile point ya kwenda kushoot South Africa ndio inaharibu sku hizi
 
Utaona tofauti endapo unadhani mwanamke tajiri hawezi kumegwa na Mangi!!! Lakini kumbuka, kila mahali na Mangi wake....

Mangi wa Kolomije ni tofauti na Mangi wa Masaki!!!!

Hoja ya Harmonize ni nini kimemfanya huyo aliyenaye ampende wakati yeye (Harmonize) ni maskini tena asie na kazi!!

Maskini asiye na kazi hawezi kumuuliza maskini mwenzake "umenipendea nini!"

Ukiona maskini mwanaume asiye na kazi anamuuliza mwanamke umenipendea nini fahamu huyo mwanamke life yake ni ya juu kuliko huyo mwanaume!!!

Kwahiyo hayo maisha ya kifahari unayoyaona kwenye video sio ya Harmonize bali ni ya huyo mwanamke ambayo yameambukizwa kwa Harominize baada ya kuwa pamoja!!
 
Mbona inaendana vizuri kabisa na video yake kwasababu wolper ni tajiri kampenda harmo kwasababu ya ufukara wa harmo bado amini kama wolper kampenda kweli ndiyo maana unaona kabisa harmonize kila mahali wolper anakuja na gari lake kuja kumchukua nadhani umekurupuka kuelewa uwo wimbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom