Tusaidiane kuzipata nyimbo mbalimbali

Dec 7, 2016
49
31
Najitokeza kuomba msaada wakupatiwa nyimbo zifuatazo,maana kwamsaada wa google imeshindikana.

Mwenye nazo au ukiwa na mmoja kati ya huo naomba unipatie tafadhali

1. CCM ni ile ile

2. Maya-Bombenga

3. Beatrice fair-Mass media

Karibuni sana,naamini nitazipata
 
Mkuu, huu wa Beatrice ule alioimba baba yake banana zoro sio...

Hata waniweke Jelaa... Sahizi yaanguu.....
 
Mi natafuta nyimbo inaitwa manungayembe , iliimbwa na kundi linaloitwa ngoni tribe
 
dah uzi mzuri sana.mi naitaji mwenye wimbo wa msondo ngoma katunga shaaban dede unaitwa SULUHU.ntafurahi nikiupata mwenye nao whatsapp.0719916156
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom