Show me ni moja ya ngoma kali sana kwa huu mwaka

Hii ngoma inaenda kumweka harmonize pamoja na richi mavoko kwenye level nyingne kabisa, ni bonge moja la ngoma...hongereni sana wasafi kwa hiki chakula bora kabisa cha maskio mliotupa shabiki zenu.

WCB for life baby.
Ni kweli kabsa. Naungana na ww.
 
Wimbo mkali sana,sema kuna scent ya diamondplatnumz kwa mbali ivi,btw ngoma kali
 
Siungi mkono hoja!
Hizi video mbili, nambie na show me sijazipenda kabisa!
Mm naongelea audio siongelei video kaka......afu show me mbona video yake nzuri tu au mshazoea mpk yawemo magari ya kifahari na majumba + ma swimming pool
 
Hakuna kitu hapo... Mavoko alipoanza kubadili staili ya uimbaji tuliouzoea miaka ileeee ndo ameharib kila kitu
 
Back
Top Bottom