Green Bird
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 101
- 81
Utamu ni ngoma ya Dully Imetoka 2012 lakini bwana mmoja huko india ameitolea remix yake 2015 mwenyewe amejieleza kwenye maelezo ya video yake huko youtube video yenyewe hii hapa chini
Lakini kuna ngoma nyingine ya hawa wasichana wakuitwa Mask Girls inaitwa sina hali icheki hapa na hawa pia wanaonekana kukopiwa na nancy Ajram. wimbo wa nancy unaitwa Yay Seher Oyounoh ucheki hapa ushahidi wangu kuwa mbongo kakopiwa ni kuwa Nyimbo ya nancy imepakiwa youtube mwaka 2009 wakati hawa mask girls wakiwa wamepakia yao mwaka 2007
weka nyingine hapo chini unazozijua hata kama mbongo ndio amecopy tufurahie ladha tofauti