proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,925
Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jacob Steven a.k.a JB amesema filamu yao mpya ya KUMEKUCHA TUNU iliyoigizwa na mastaa wengi akiwpo na JB mwenyew ni ya kipekee tofauti na hizi zingine za bongo movie.
JB amesema kuwa filamu hii ni tofaut na zingin kutokan na kuwa bajeti yake ni kubwa na imeongozwa na director mkubwa ambaye ni mtoto wa director wa filamu ya NERIA ambayo ilifany vizur sokoni,, hivo inaweza kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.
Nimejaribu kuweka video ya JB alipokua akiongea na AyoTV lakin imenigomea ,, km kuna mtu anayo anawez nisaidia kui-upload.
Chanzo:millardayo.com