donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa kutoangalia tena muvi. KWANZA,hakuna uhalisia kabisa kwenye hizo muvi yan ni bora kuangalia maigizo ya kwenye tv. Mtu anaekt wakat mwingine anajisahau anaishangaa kamera,au kinasa sauti kinaonekana kabisa. Hata matukio yenyewe sanyingine ni imaginary kwa mfano et mtu anajiambia ngoja niende kwenye fridge nikachukue maji ninywe af niondoke wakat ki uhalisia m2 huwez jiambia wakat unaenda kunywa maji. PILI,TAtizo ni lack of continuity,yan hapa ndo pananikera sana. Unakuta muvi mmoja ina part1 adi 3 alafu hamna hata cha maana basi yan wanafanya makusudi ili kuwalia pesa wananchi. Yan kwa kwel ukianza kuzichambua kero ni nying sana mpaka nashndwa maliza. TATU,wanatufanya wapumbav kwakuiba script za wanaijeria na hollywood. Kuna muv unaamgalia ad umajiuliza jaman mbnna hii muvi kma muv flan? Yan wanachofanya ni kucopy na kupaste