Sinza Vs Tabata wapi Maarufu kwa bata

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
881
1,033
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mabishano kati ya sinza na Tabata ni wapi panabamba kwa starehe

Kwa hapo awali wengi wanasema ilikuwa sinza lakini kwa sasa tabata imechukuwa nafasi

Nimeleta jukwanii hapa ili kumaliza ubishi ulipo miongoni mwa jamii ya hapa dsm

Karibuni tumalize ubishi.......
 
Sinza ilikuwa Enzi za Ukanda wa Gaza bwana, saa 10 jioni ukipita unaona mlima wa kuku wa kuchoma, njoo saa nne usiku hakuna kitu.
 
Sinza ilikuwa Enzi za Ukanda wa Gaza bwana, saa 10 jioni ukipita unaona mlima wa kuku wa kuchoma, njoo saa nne usiku hakuna kitu.
Siku asubui nilienda kula supu nikakuta jamaa kaninginiza mbuzi km 10 hivi nikashangaa sikuuliza, kwenda kulala masaa 4 mbele nikaenda same place nilikuta vimikia tu vya mbuzi. Nyama ishaliwa
 
Hahaha huu uzi. ..nikwawala bata mahususi,me naona bado sinza pakijanja ...mkubwa mkubwa tu
 
hizi maeneo kwa Tabata ni sheeeda

1. forty forty
2. micasa
3. the great
4. kwetu pazuri....
ukitaka ndoa ife shinda maeneo hayoo.....full bata.
 
Back
Top Bottom