Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

kipindi cha hv karibuni naona msanii Rich mavoko toka awe WCB anashuka baada ya kupanda, maana ktk nyimbo aliyeimba na diamond kafunikwa na ss hv tena ktk nyimbo ya show me na harmonize pia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Msanii akitoa wimbo mpya ukapata promo ya kutosha kila mtu anamdandia.Wimbo ukichuja wanatafuta mwingine mwenye kick.Pia wanamuziki wa Bongo hawana uhakika na maisha yao ya sanaa kwa sababu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yamoto Band wameibuka na kutamba na nyimbo mbalimbali katika Bongo Fleva, shukrani za pekee ziende kwa Mkubwa Fella kwa kuwapa nafasi madogo. Ipi ni nyimbo bora ambayo Yamoto Band wamewahi...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
EPL
Mechi ya mwisho ya Chelsea n lini Jaman??
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Huyu jamaa mi namkubali sana sababu sio muoga kabisa ukizingua anakuchana tu kupitia mic. Hii ni baadhi ya mistari ya nyimbo yake kali kabisa inaitwa Tanzania. Aliimba hivi; ''Najua msema kweli...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
habarini ndugu zangu: nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe) za hapa Tanzania/Africa/Duniani ...... Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali (maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
CRONOC 7 richard MWAMBE 01 N DANI YA CHUMBA CHENYE GIZA sauti za watu wawili tu zilikuwa zikisikika, kilikuwa ni aina fulani ya kikao cha siri ambacho hakuruhusiwa mtu...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Hili kundi nilianza kulijua miaka ya 2001 wakitamba na nyimbo zao kama napesi,mwinda nk ila wamepotea sana hiv hili kund bado lipo au ndo walixha tengana?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
huwa nairudiarudia na kucheka sana.
3 Reactions
15 Replies
9K Views
Naomba kujua ni mtandao upi nitaweza kudownload prison break season 5
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Alikiba apewa jina jipya Uingereza. soma zaidi Alikiba apewa jina jipya Uingereza | East Africa Television
0 Reactions
0 Replies
741 Views
SEHEMU YA 03 David Robert, Mtanzania anayeishi Marekani anaingia Marangu, mkoani Kilimanjaro akiwa na wenzake Wilson Johnson na Joel Poulsen ambao ni wazungu, kwa pamoja wanamsaka msichana...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuna makundi ya hip pop yalikuwepo miaka hiyo ambayo yalikuwa na nyimbo zao nazitafuta hasa baada ya kuzipoteza nlipoenda Majuu miaka ya 2000s . hawa jamaa walikuwa hatari sana makundi kama GWM...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimekaa na kujiuliza sana ni aina gani ya muziki ambayo ni identity yetu kama watanzania, nikakosa jibu. Kwaito ni South Africa, Reggae ni Jamaica etc, sisi ni aina gani ya muziki ikipigwa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
[emoji106]
0 Reactions
4 Replies
826 Views
Aloo kumbe huyu mwana hip hop ni mnazi mkubwa wa washika bunduki wa london mchezaji anaempenda sana ni OZIL anakwambia akimuona tu uwanjani huwa ana asilimia flani za ushindi....tatu zake chafu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maisha matakatifu ya Bob Marley, jicho makini lenye kusoma mazingira. Mtu mwenye utu na mwenye Upendo wa hali ya juu. Siku zote Bob atabaki kuwa mfalme wa Maisha yangu.
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Wanamuziki wa Congo DR Wamesomea Muziki Wanapiga Vyombo zaidi ya moja Mazoezi yao ni ya Masaa nane ( 8 ) bila ya Kupumzika Kabla ya kuanza kutumbuiza hufanya testing ya Saa 1 hadi Masaa 2 Wale...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Ninaomba msaada natafuta namna ya kuziangalia series za Prison Break hizi mpya bila kusubiri kila j tano wanapotoa vipande vipande vyao mm nataka, niangalie mfululizo pale, walipoishia...kwa utamu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom