KUHUSUB PRISON BREAK

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Ninaomba msaada natafuta namna ya kuziangalia series za Prison Break hizi mpya bila kusubiri kila j tano wanapotoa vipande vipande vyao mm nataka, niangalie mfululizo pale, walipoishia...kwa utamu wake hii movie nashindwa kuivumilia aiseeeew msaada

Kama Kuna channel ambayo zinapatikana naomba nipewe ndugu zangu.
 
Unataka kwenda peponi lkn unaogopa kufa....kama huwezi kuvumilia subiri baada ya miezi 2 halaf ndio uangalie yote
 
Naogopa kuangalia Mwendelezo wa hii series .
Sina Imani kama inaweza kua Nzuri.

Nnachoogopa ni kimoja .
Toka nimeanza.kuangakia series nikiiweke Prison Break kama the Besy Series kwa wakati wote.

Baadae nimepata fursa ya kuangalia Series kama Breaking Bad , Walking dead na Queen of south, zote ni Best lakini stil niliiweka Prison break no.1. Ikifutaiwa na Breaking bad kwa karibu sana ..

Endapo nitaangalia mwendelezo wa Prison break na kwa bahati mbaya nikakuta Epsod ya kwanza tu si nzuri Basi direct nitakwenda kuipandisha Grade " breaking bad" na kuifanya Prison Break kua ya pili.
 
prison break 5 sijaona kama ina mzuka sana. naiangalia lakini huwezi ifananisha na ile ya kwanza hasa seasons zile za mwanzoni kabisa kama season 1,2 na 3 kiasi. unajua sometime hizi series wanapoziongezea muda sana wanaanza kupoteza uzuri wake kama ilivyo Homeland Season 6 imepotoa sana haina kitu. kama ilivyokuwa kwa Lost tuliokuwa tayari tunaangalia hizi series miaka ya 2000s. ilianza vizuri sana baadaye wakawa wanailazimisha iwe ndefu huku wanaharibu
 
Tafuta live stream ya fox kwenye YouTube au apps ya fox TV ya on line Ila use na mb za kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom