GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,314
Kuna makundi ya hip pop yalikuwepo miaka hiyo ambayo yalikuwa na nyimbo zao nazitafuta hasa baada ya kuzipoteza nlipoenda Majuu miaka ya 2000s . hawa jamaa walikuwa hatari sana makundi kama GWM (Gangsters With Matatizo) Weusi Wagumu Asilia, watu kama akina Saleh Jabir,II Proud aka Mr II na walioimba wimbo kama ule wa "cheza mbali na kasheshe" , hoya msela, kidhaadhaa ( mashairi yake -
hatuna la kusema ,mtake mstake lazima mfuate haya ntakayoyasema,
hatutaki mmoja ampotee tunapenda wote,
ntakayosema ni mazuri kwa mtu yeyote,
ukimwi hatari, we utalala na nani,
aah jaman ,ujinga gani, huku kule bure epuka daddy sugar mummy,
amefanana na nyani,
aah jamani ujinga gani,
huku kule bure epuka.
hatuna la kusema ,mtake mstake lazima mfuate haya ntakayoyasema,
hatutaki mmoja ampotee tunapenda wote,
ntakayosema ni mazuri kwa mtu yeyote,
ukimwi hatari, we utalala na nani,
aah jaman ,ujinga gani, huku kule bure epuka daddy sugar mummy,
amefanana na nyani,
aah jamani ujinga gani,
huku kule bure epuka.