G nako shabiki wa Arsenal

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Aloo kumbe huyu mwana hip hop ni mnazi mkubwa wa washika bunduki wa london mchezaji anaempenda sana ni OZIL anakwambia akimuona tu uwanjani huwa ana asilimia flani za ushindi....tatu zake chafu arsenal ndo ya kwanza anaikubali sana.
 
Back
Top Bottom