Bob Marley

Amani na Upendo lazima izingatiwe na watu wote, ukitoa Upendo utapokea Upendo. Hii ni kwa pande zote hadi kwa mume na mke, bila upendo hakuna Amani.
 
Sote ni ndugu watoto wa Baba mmoja, na wote tumezaliwa na Mwanamke.

Jambo usilopenda likutokee usiliombee kwa mwenzako. Haya ni maisha hatujui tuendako. Peace & love itawale.
 
Ukitazama mtiriko wote unajua kuwa KAYA ni majani yalioletwa na Mwenyezi Mungu kudumisha Upendo.

Siwezi kuacha KAYA daima bora nife kuliko kuacha KAYA.

Inanipa nguvu ya kufanya kazi, inanipa Upendo na kuthamini uhai wa kitu chochote hata uhai wa sisimizi.
 
Ni mmoja wa wanamuziki ninao wakubali saana. Aliweza kuunganisha muziki, dini na siasa. Pamoja na pesa nyingi alizokuwa nazo bado alikuwa mnyenyekevu sana kwa watu. Lakini kizuri hakidumu ameondoka akiwa kijana saaana.
 
As much as I love Bob I couldn't pass without leaving a comment.

Bob was truly a genius and great leader. I have been a lover of his music and lifestyle for as long as I can remember.

His music and wisdom have played a big role in my life and person I have become today

Big up Nesta Marley your music and legacy will continue forever

Perfect love King
 
Back
Top Bottom