xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,325 Apr 20, 2017 #2 Yule ndio kocha anaestahili kuwepo arsenal mpka afe
wambura marwa JF-Expert Member Mar 7, 2015 2,172 1,128 May 15, 2017 #3 MWANAWET said: Click to expand... Yupo vipi una timu ?
M MWANAWET Senior Member Jul 29, 2015 140 42 May 15, 2017 Thread starter #4 Watz na club zetu tunapenda mafanikio ya haraka-tumuige Wenger anajenga timu kwa utulivu hana pressure.
Watz na club zetu tunapenda mafanikio ya haraka-tumuige Wenger anajenga timu kwa utulivu hana pressure.