Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,387
- 8,584
Huyu jamaa mi namkubali sana sababu sio muoga kabisa ukizingua anakuchana tu kupitia mic. Hii ni baadhi ya mistari ya nyimbo yake kali kabisa inaitwa
Tanzania.
Aliimba hivi; ''Najua msema kweli hufa mapema sijali kama mlimuua Amina hapa kwangu chuma cha reli, kwanza kwetu mi nimeaga na babu akanichinjia ng'ombe nikanywa damu, akani bless nije town nitetee wanyonge''.
Hakika kijana kaaga kwao ni mpambanaji haswa