Wiki kadhaa nyuma kulikuwa na maandamano ya wasanii wa Bongo movie wakilalamika juu ya kudorora kwa bidhaa zao mbovu. Narudia tena kudorora kwa bidhaa zao mbovu.
Hawajui ni wapi walipoteleza...
Salam wakuu.[emoji26] Nimeitafuta mitandao yote duniani nimeikosa. Kuna Dada tulikua wote Johannesburg alikua nayo ila nikashindwa kumuomba. Maana tulikua kwenye msiba wa mama yake. Nikaona...
"How I Became The Sea"
June was the lobster shell
I dug by hand
A haven that hid me well
Beneath the sand
The wide windy waves washed in
But I stayed dry
The great breakers broke again
As I...
jaman mwenye hizi series na yupo dar naziomba......ARROW, mission, 24 HOURS, PRISON BREAK, QUANTICO, ELEMENTARY, LOST, THE ORIGINAL, STRIKE BACK, SCI, THE WIRE, BREAKING BAD, CRIMINAL MINDS, WHITE...
___________________
Habari za kifo cha muigizaji Shahrukh Khan zilienea kwa kasi mapema wiki hii na kusababisha wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake duniani kote.
Hata hivyo taarifa hiyo...
ikiwa imefikia Ukingoni mwa michuano ya ligi kuu mbalimbali duniani,
Weka mtazamo wako hapa nani unaona anafaa kuwa mchezaji bora wa ligi usika tajwa hapo ;
1:ligi kuu Tanzania bara(Vpl)
2:ligi...
Nimefuatilia mechi mbili za Serengeti boys huko Gabon nimevutiwa na wachezaji kadhaa[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Binafsi Nimevutiwa sana na uchezaji wa Dickson job na Abdul Suleiman pia...
Habari zenu wakuu.
Kuanzaia miaka kama ya 2008 kurudi nyuma, hapa tanzania tulikuwa na kituo cha tewvision ambacho kilicho nivutia sana..... nilikuwa na vipindi vizuri sna .. kwamm binafsi...
Unapozungumzia muziki wa HipHop Tanzania umetoka mbali sana,Huwezi kuuzungumzia mziki wa hiphop bila kuwataja Salehe jabri 2Proud na Kwanza Unit.
Sasa hiki ni kisa walikutana nacho Kwanza Unit...
Copy ya wimbo wa "wazee wa kaaazi" Les Wanyika uitwao Afro, Nimotoka kuusikia mda si mrefu katika moja ya radio FM za hapa mjini. Ama hakika huyu kijana katutendea haki saana.. Mungu endelea...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kwa yeyote mwenye kuwa nayo hiyo beat ya Mboga Saba toka kwa MR.BLUE anisaidie tafadhali.
Nimejaribu ku-search google ila nimekuta ambazo watu wane-copy lakini sio...
Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti.
Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.