Kundi la *makoma*

Kundi la *makoma*

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,792
Reaction score
9,202
Hili kundi nilianza kulijua miaka ya 2001 wakitamba na nyimbo zao kama napesi,mwinda nk
ila wamepotea sana
hiv hili kund bado lipo au ndo walixha tengana?
 
Mmmmh but kunawengne walikufa nasikia
Hakuna aliyekufa, wote wapo ila Nathalie Makoma ndo alijitoa kwenye group na kuwa mwimbaji wa kujitegemea!

Hii iliwapa mtikisiko kidogo maana Nathalie alikuwa mtunzi na mwimbaji tegemeo sana!
 
Daah! Ila yule ndo alikua top
Hakuna aliyekufa, wote wapo ila Nathalie Makoma ndo alijitoa kwenye group na kuwa mwimbaji wa kujitegemea!

Hii iliwapa mtikisiko kidogo maana Nathalie alikuwa mtunzi na mwimbaji tegemeo sana!
 
Kuna huyo cjui nathalie nilikuwaga namzimikia sana jamani, yani kama angekosea njia akajichanganya kidogo tu basi ningemgegeda..... maana tuliwahi kukutana nchi flani hivi
 
Ukipita Magomeni unawaona mida ya jioni
 
Back
Top Bottom