babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
kipindi cha hv karibuni naona msanii Rich mavoko toka awe WCB anashuka baada ya kupanda, maana ktk nyimbo aliyeimba na diamond kafunikwa na ss hv tena ktk nyimbo ya show me na harmonize pia kafunikwa.
Kifupi jamaa amekuwa cyo yule rich mavoko wa zamani anazid kudrop kiuwezo, cjui ktk mpunga.
Povu ruksa.
Over.
Kifupi jamaa amekuwa cyo yule rich mavoko wa zamani anazid kudrop kiuwezo, cjui ktk mpunga.
Povu ruksa.
Over.