Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Nimekaa na kujiuliza sana ni aina gani ya muziki ambayo ni identity yetu kama watanzania, nikakosa jibu. Kwaito ni South Africa, Reggae ni Jamaica etc, sisi ni aina gani ya muziki ikipigwa tunasema ni wetu? Au singeli hahahahahaha!