Naomba kufahamu ni kituo gani cha runinga wanaonyesha mieleka WWE

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
8,697
17,320
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali

(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/ pia ni miongoni mwa michezo niipendayo sana)
Natumia zuku jamani
 
Kuna channel inaitwa eAfrica wanaonesha iko kweny vng'amuz ving, like TING, CONTINENTAL, STAR TIMES. have a look through!!!
 
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali

(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/ pia ni miongoni mwa michezo niipendayo sana)
Mi pia naipenda sana. Kuna chanel ya 10 sport inapatikanika sana kwenye cable.
 
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali

(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/ pia ni miongoni mwa michezo niipendayo sana)
Download uta-enjoy vizuri sana, mi naona zinazoonyeshwa kwenye tv huwa hazikamiliki sawa sawa. Royal rumble ya mwaka huu ilikuwa safi sana. Nakushauri udownload utaona match kwa wakati kuliko kusuburi kwenye tv.
 
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali

(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/ pia ni miongoni mwa michezo niipendayo sana)
upload_2017-2-9_18-35-27.png

Tazama TV channel ya WWE kupitia hii link
>> WWE Network

Pia waweza kutazama TV channel yeyote Duniani kupitia hii link
>> ShadowNet Home
upload_2017-2-9_18-36-14.png

Tumia Simu - Mira cast kuunga kwenye TV

Au tumia HDMI cable kuunga laptop yako kwenye TV
 
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali

(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/ pia ni miongoni mwa michezo niipendayo sana)
Nenda kanda ya ziwa sehemu Geita huko kuna kastation kanaitwa Geita Cable hii ni full WWE from 8:00pm to 10:00pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom