Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 May 12, 2017 #1 huwa nairudiarudia na kucheka sana.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 May 12, 2017 Thread starter #2 Attachments rn2waqi.jpg 27.3 KB · Views: 1,028
ipyax JF-Expert Member Nov 1, 2010 4,147 6,521 May 12, 2017 #4 Hata mimi pia naikubali sana bonge la comedy na action za kibabe.
scalethat JF-Expert Member Oct 7, 2016 1,063 1,885 May 12, 2017 #8 kama ni uongo hapa ndo kwao.nampenda huyo aunt na kitu cha shaolini soccer
ChamiNdonda Senior Member Mar 12, 2016 135 184 May 12, 2017 #9 Niko na kungfu hustle imetafsiliwa na Dj Afro huwa sichoki kuiangalia
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,033 15,616 May 16, 2017 #11 hunishindi mimi asee hii muv naipenda sn bonge la comedy sijaona km hii asee
Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,542 4,117 May 16, 2017 #12 Red Giant said: huwa nairudiarudia na kucheka sana. View attachment 507991View attachment 507992View attachment 507993View attachment 507995 Click to expand... Mkuu naomba link kama huto jali
Red Giant said: huwa nairudiarudia na kucheka sana. View attachment 507991View attachment 507992View attachment 507993View attachment 507995 Click to expand... Mkuu naomba link kama huto jali
Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,542 4,117 May 16, 2017 #13 ChamiNdonda said: Niko na kungfu hustle imetafsiliwa na Dj Afro huwa sichoki kuiangalia Click to expand... Naomba link kaka
ChamiNdonda said: Niko na kungfu hustle imetafsiliwa na Dj Afro huwa sichoki kuiangalia Click to expand... Naomba link kaka
Juma chief JF-Expert Member Jun 6, 2016 2,763 2,364 May 16, 2017 #14 kama ni mtu wa movie ukiwa na stress 100% ...baada ya movie hakika lazima urudi normal kwa picha hiyo mkuu..... iko pouwa sana..!!..
kama ni mtu wa movie ukiwa na stress 100% ...baada ya movie hakika lazima urudi normal kwa picha hiyo mkuu..... iko pouwa sana..!!..
KING 360 JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,002 5,191 May 16, 2017 #15 Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer
Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 May 16, 2017 Thread starter #16 DEOD 360 said: Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer Click to expand... Star na director wa hizo movies ni mmoja. Stephen Chow.
DEOD 360 said: Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer Click to expand... Star na director wa hizo movies ni mmoja. Stephen Chow.