Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtayarishaji wa muziki mkongwe Allan Mapigo anadai muimbaji nguli wa taarabu Mzee Yusufu alikua na mpango wa kufanya hip hop, lakini yeye akambadilisha mawazo kutokana na kuona anafaa zaidi kuimba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Miss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa...
8 Reactions
68 Replies
8K Views
Leo jioni Gadna kachemka kwenye kipindi cha 'kubwakubwa'! Akiwa Na mwenzake redio EFM wamedai vita ya kwanza ya dunia ilikuwa Kati ya Mwaka 1905 hadi 1907! Ukweli ni vita hiyo ilikuwa Mwaka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Leo hii ndani ya XXL ya Clouds FM msanii MB Dogg amethibitisha kwamba mpango wa kuwashirikisha wanamuziki mashuhuri kutoka Marekani Lil Wayne na Chris Brown ktk wimbo wake upo na wanatarajia...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Do you want to read a book about the lives of famous Hollywood couple Beyonce and Jay Z, or are the numerous tabloid stories enough to give you an insight into their lives? A Tanzanian author...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula...
5 Reactions
107 Replies
23K Views
Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW...
6 Reactions
76 Replies
25K Views
DIAMOND PLATNUMZ ashinda tuzo tooXclusive Awards 2015 kwenye kipengele cha #AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR. DAVIDO NA WAZIKID WAMETOKA SIFURI KWENYE KATEGORI ZAO. HABARI KAMILI BONYEZA HAPA NAAMINI...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nipunguze tu lepelepe nyiiingi.. NI hivi , kuna celebrities au celebs kwa wale wana swagga.. ambao una wakubali, una wapa respect yako kwa asilimia 100, Hawa kujui ila una waheshimu sana nakuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official …: Angalia video hii kwenye hiyo link ili kiba afikishe 1m view atoe ngoma nyingne support gud music
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo...
3 Reactions
90 Replies
19K Views
Mwaka 2015 hatukubahatika kuona Big Brother Africa haikuwepo hata Fiesta pia sikujua kwa nini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanadada mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa Kitanzania, Mungu akubariki na akuzidishie! Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Hivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???.. Mbona alistahili kushinda yeye???..
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Nimeangalia na kusikiliza cover kibao za wimbo wa Hello wa Msanii nguli wa Uingereza 'Adele'. Leo nimeangalia na kusikiliza cover ya msanii wa kibongo Beka nimegundua dogo ana kipaji si haba...
7 Reactions
45 Replies
16K Views
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala...
6 Reactions
99 Replies
13K Views
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Nilikuwa nacheck mtv base kipindi chao cha verified nimeona ngoma ya nagharamia imepingwa.Naona jamaa baada ya lile shindano la face of tanzania kunakitu wamejifunza..
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom