Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,798
- 2,739
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP, je walipigana au vipi?
Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka.
Jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.