Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
 
Hahahahaaa kumbe?Hivi hili sakata limeishia wapi?
Ila wanaume hawana maana jamani!Huyo Mr. Thursday si anasifika kwa kuwa na wifey bomba?
 
Ndo maana Mr Napigwangwala alitoka povu sana, inaonekana alikuwa anasali sana apate cheo amkabili jamaa kwa kosa la kumpiga ngwala na kumzidi katika kumiliki toto matata!
 
hiyo heading na ulivyohitimisha vitu viwili tofauti nna wasiwasi na wewe mtoa mada kama sio wivu basi umbea tu unakusumbua
 
hiyo heading na ulivyohitimisha vitu viwili tofauti nna wasiwasi na wewe mtoa mada kama sio wivu basi umbea tu unakusumbua

Huoni Hata AIBU Mkuu? Watu Wote 12 Hapo WAMESHAUELEWA UZI WANGU NA KUUCHANGIA Isipokuwa Wewe Tu " PANZI BRAIN " Ndiyo Hujauelewa Na Unapayuka Tu Sasa.
 
Dr. Tuesday hawezi fanya huo upuuzi...Dr. Week Year ni Tapeli.

Huyo Dr. Tuesday Wako Ni Wa Wapi Tena? Hivi Huwa INAWAGHARIMU Nini Kutulia Tu Kidogo Kuusoma UZI Wote Kiumakini, Uuelewe Na Kisha Uchangie? Anyway Akhsante Kwa Kuchangia.
 
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
Peleka gazeti la udaku.
 
Acheni kuchafua watu. Watu wanaposimamia kazi vizuri, mnawachafua na kuwasingizia kuwa Wana mabifu ya kukosa mademu. Je mhashimiwa rais anavyotumbua majipu, na yeye alitoswa na mademu waliowakubalia wale waliofukuzwa bandarini, waliotoswa uwaziri, waliotoswa ukatibu mkuu, n.k?
 
Hahaha mimi pia,hii habari labda nipewe source..

Unaposema Tu HABARI Jua Ya Kwamba Kuna Ambayo Ni " CLASSIFIED " Na " FREE TO THE PUBLIC " Na Ungekuwa Umekwenda Kweli Shule Ungegundua Tu Kuwa Hata UZI Wangu Nilivyouandika NIMEUFUMBA Mno Na Hiyo Ingetosha Kukuridhisha Wewe Kuwa Hii Kitu Ni " NYETI " Ila Yawezekana " PANZI BRAINS " Idadi Yenu Imeongezeka Humu Sasa Mnatusumbua Sisi Ma Great Thinkers. Hivi Shule Zenu Mnategemea KUZIFUNGUA Lini Mpungue Humu?
 
Back
Top Bottom