MIGUGO JF-Expert Member Dec 3, 2011 2,136 3,924 Jan 16, 2016 #1 Mwaka 2015 hatukubahatika kuona Big Brother Africa haikuwepo hata Fiesta pia sikujua kwa nini.
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,433 1,768 Jan 17, 2016 #2 Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti.
T tiktak Member Jan 15, 2016 10 0 Jan 17, 2016 #3 INNOCENT CHACHA said: Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti. Click to expand... kweli bana tofauti sana huyu jamaa kama shigongo tu
INNOCENT CHACHA said: Kichwa cha habari na kile kilichoandikwa ndani ni mbingu na ardhi. Yaani kuna bonge la tofauti. Click to expand... kweli bana tofauti sana huyu jamaa kama shigongo tu