yeye kutumia hilo neno la nigga kwenye page ya instagram sijui anaona sawa,wakati ndo keshaingia kwa watu ambao asihangae siku moja wakalitumia akiwa uwanjani,meneja wake amuambie a edit,aandike...
Diamond kupitia tuzo za Bingwa zinazotolewa nchini Kenya ameibuka kifua mbele akimuacha Balozi asijue la kufanya zaidi ya kutoa macho kijana akichukua tuzo ya Tanzanian Artist of the Year...
Jamaa nilidhani kashapotea mazima maana kwa mda mrefu hajasikika, ila kwa huu wimbo mpya alioutoa unaitwa 'Mama Kijacho' naamini utamrudisha, audio nzuri, video iko simple inaendana na maudhui...
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....
Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa...
Nimekuwa nikiona wasanii wengi wa filamu, mitindo na muziki wakijitokeza kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kama vile kusaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu, kuhamasisha siasa...
“NIMEKUCHAGUA wewe, uwe wanguu… Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana, sijali maneno ya watu, wasememayo, yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja…”
Hicho ni kibwagizo cha Wimbo Nimekuchagua Wewe...
Diamond platnumz ameonyesha ofisi yake ili kuwapa nguvu vijana wanaotafuta wasikate tamaa muhimu ni kujituma.
Diamond ameonyesha picha alipotembelewa na mama yake ameandika'' guess who visited in...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara...
Diamond Platnumz amesema akiachana na Muziki anataka kuwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.
Akizungumza katika kipindi cha Papaso...
Kwanza kabisa naomba niwajuze wale wasiomfahamu nifah...
Mimi ni mkweli na mwenye msimamo mkali.
Huwa nasimamia katika kile ninachokiamini bila kuogopa wengine watapinga vipi au kunichukulia vipi...
Akizungumza kwa hasia na Ayo TV Alhamisi hii, Diamond alisema anawashangaa wasanii wanaotumia muda mwingi kumponda mtoto wake kuliko kutafuta pesa.
“Watu wamekaa kwenye sanaa muda mrefu mimi...
Huyu ni msanii ambaye kwakweli ameiletea sifa nyingi sn Tz Na Africa kwa ujumla .
Lkn nyimbo zake hata hazina dakika tano najiuliza kuhusu kina Marijan Rajabu nyimbo zao zilikuaa ndefu Na bonge...
Awali ya yote nipende Kutoa Shukrani zangu za kipekee kwa mwenyezi Mungu kwa kunilinda wiki nzima hata nmepata nafaSi yakuwepo tena leo hii hapa Jukwaani
leo tuna angaza jicho kwa wakali hawa wa...
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.