Kila Mtanzania angekuwa kama Flavian Matata, tungekuwa mbali sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mwanadada mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa Kitanzania, Mungu akubariki na akuzidishie!

fmf-msinune-650x432.jpg

Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada kutoka kwa Mzalendo dada Matata!

fmf-msinune-primary-school-650x427.jpg


FmF--650x396.jpg


fmf-msaada-choo-650x421.jpg


Kila La Heri Dada Faviana Matata!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nampongeza kwa hilo na ni kazi nzuri, hata hivyo kuna watu sio wote wanaosaidia watu au kufanya mambo ya maendeleo wanaonekana mkuu.

Kulikua kweli na ulazima wa kutaja majina ya watu wasiohusika kwenye hilo tukio?
 
Mwanadada Mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa KitanZania, Mungu akubariki na akuzidishie!

fmf-msinune-650x432.jpg



Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada kutoka kwa Mzalendo dada Matata!

fmf-msinune-primary-school-650x427.jpg


FmF--650x396.jpg



Fikiria fisadi Lowasa & Co. wangeweza kujenga vingapi kama hivyo hapo chini kama kweli Umaskini wa MtanZania unawauma?

fmf-msaada-choo-650x421.jpg




Kila La Heri Dada Faviana Matata!
Nimechelewa mno kukufahamu
 
Inaonekana usipomtaja lowassa huwezi kupata usingizi chaku...pimbi kweli wewe. By the way hongera yako dada flaviana God bless you as always.
 
Safi sana Flavi unaonesha mfano mwema... Kuwa maarufu sio lazma ufanye ujinga kama kina Wwema Chepetuko... N.B: Kutoa sio utajiri, ikiwezekana tufanye kwa uwezo wetu
...
 
Kwa kweli nampongeza kwa hilo na ni kazi nzuri, hata hivyo kuna watu sio wote wanaosaidia watu au kufanya mambo ya maendeleo wanaonekana mkuu.

Kulikua kweli na ulazima wa kutaja majina ya watu wasiohusika kwenye hilo tukio?
Yaani kwake ni kama Tanzania ina watu wawili tu leo, Flaviana Matata na Lowassa. Mbona yeye hajajitaja nini kawafanyia hao watoto au hata wazee wa kitanzania? Au yeye ndiyo huyo Flaviana Matata? Tatizo kuna watu wapuuzi sana, mfano ni huyo mleta uzi. Yeye kwake kila kitu lazima aingize siasa za maji taka hata kama vitu havifanyiki kisiasa. Anyway, yawezekana Flaviana ni kada wa CCM "kama alivyo Samatta", lakini sijaona akitutajia orodha ya wanaCCM WOTE na wema wao waliowafanyia watanzania...hata serikali yenyewe ambayo ndiyo kwa makusudi kabisa ya kifisadi imeshindwa kuwajengea vyoo watoto wetu, na bado wanajinasibu kwa wema wa mtu mmoja asiyehusiana nao. Too cheap!
 
Mume wake anafaidi sana

cc warumi nifah Madame B
Sema kuoa au kuolewa na mtu star ni shida sana.
Humfaidi vizuri kitandani.....kila wakati yuko juujuu kama kidaka cha dafu kwa u-busy wa shughuli zake.
Bora niolewe na mzubaji mwenzangu.....nikimtaka tu, nampata kwa muda wangu.
Asa C.T.U we unafikiri Deo anamfaidi kwa wakati?
Ngoja akina nanii wamsaidie kulea.
 
Hongera sana Mwanamitindo Flavian kwa kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu kwani kufanya ivo kunasaidia kujenga taifa imara la kesho
 
Mwanadada Mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa KitanZania, Mungu akubariki na akuzidishie!

fmf-msinune-650x432.jpg



Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada kutoka kwa Mzalendo dada Matata!

fmf-msinune-primary-school-650x427.jpg


FmF--650x396.jpg



Fikiria fisadi Lowasa & Co. wangeweza kujenga vingapi kama hivyo hapo chini kama kweli Umaskini wa MtanZania unawauma?

fmf-msaada-choo-650x421.jpg




Kila La Heri Dada Faviana Matata!
see

hivi udom na shule za kata alijenga Nani
 
Yaani tungekuwa mbali kwa kupeana misaada? yaani kila mtz awe na kafoundation ka kwenda kuomba nje ili kuja kugawa killage.
 
Sioni cha maana anachokifanya. Mke wangu anasomesha kijiji na kuwasaresha wanafunzi anaowasaidia ila hajitangazi kamwe.
 
Hapo hamna kitu ni zuga tuu kuonyesha waliotoa hela zao kazi imefanyika, tena probably kiasi kikubwa bado kipo mfukoni mwake, Tanzania haiwezi kuendelea kwa kutegemea fedha za kuhongwa mwanamke au misaada. Serikali ianze kufanya kazi yake
 
Mhhhh upuuzi mtupu yani kugawa mabegi ya buku buku kwa hao wanafunzi 50 ndio msaada?
 
The only reason remain why people do good things nowdays is only to get something to post on social media!!! If you do good do good for good's sake!:oops::oops:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom