Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kama alivyopata kusema Msanii Ben Paul kuwa Kiba anakuwa overrated halafu inamgharimu sana. Uwezo na upeo wa msanii yeyote utaupima pia katika mahojiano mbalimbali na media,huwezi kudanganya umma...
3 Reactions
83 Replies
21K Views
Hakyamungu huyu samatta ndiye wa kumuombea watanzania sio wale waliopiga push up kwenye kampeni baadaye wanakuja kulialia eti tuwaombee nyumba zimepigwa x embu angalia uongo wa Club african ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie kunifahamisha hivi wema na Idris ni wapenzi kweli? Au Kuna movie wanatarajia kuitoa hivyo wanaifanyia promo?
0 Reactions
163 Replies
43K Views
DIAMOND PLATNUMZ amechaguliwa kwenye Tuzo za #Maya Awards-2016 za nchini naijeria ambazo upigaji kura ushaanza na mwisho mwezi Februali,2016 katika kategori ya African Artist Act(Mtumbuizaji bora...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Baba na mama Sama goal wakimsbiri mtoto wao kwenye ngazi za uwanja wa ndege akitokea Nigeria alikoshinda tuzo ya wanasoka wa ndani Afrika
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka...
1 Reactions
37 Replies
13K Views
Wadau wapenda ubuyu wa masuper staa najaribu kujiuliza kuhusu huu mkoko aliotunukiwa binti tunda ni young D kamtunuku au kuna anaza sponsa? @nifan@warumi najua mtakuwa mmeshaona huu ukwaju
0 Reactions
114 Replies
17K Views
Hellow, Kuna habari nimeziona toka kwenye blogs eti nyumba ya Dr Mengi iko kwenye hati hati ya kubomolewa, je kuna ukweli wowote juu ya hili? Au ni rumors tu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
From @officialaccountofDiamondPlatnumz said as following. Wadau leo Mwamba wetu M'bwana Samara anatuwakilisha kwenye Tuzo za Glo-cuf Awards....tusiache kuangalia kupitia @dstvtanzania.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jina instagram, nikakumbuka kama niliisha wahi liona sehem ngoja nicrick dah, lahaula lakwata.nikakutana na mashauzi ya kiume Mungu wangu...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Juzi kati mitandao ya kijamii na kwenye ukurasa wake wa Facebook, Wastara alipost kuwa nyumba zake mbili zinavunjwa, leo amepata mume kutoka CCM, Sadifa Juma ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM - Taifa...
1 Reactions
56 Replies
23K Views
Ule urafiki wa mastaa wa bongo movie ,wema sepetu pamoja na kajala masanja unadaiwa kurudi kwa kasi huku wenyewe wakifanya siri hili wambea wasianze choko choko za kuwagombanisha, habari chini ya...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Tu wazima na siha njema na harakati za kutafuta maisha hapa na pale in order to survive na kuendeledha vizazi vijavyo,but now siegamii upande wowote ule wa Msanii Fulani,Ila tu patakaponilazimu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Ni mtu Mwenye Mchango Mkubwa Sanaaa Katika Maisha Yangu Leo Hii Mimi Ninathaminika Kutoka Kwenye...
1 Reactions
91 Replies
15K Views
Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu. Wasanii wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki wa Bongo, ni nini wafanye na kipi, ili iweje, yote kwa yote kutoboa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Naughty By Nature’s Treach Disses Kanye West & Kim Kardashian Treach defends his late friend Tupac. by Soren Baker Naughty By Nature’s Treach disses Kanye West and Kim Kardashian in a series of...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
wapi huyu mrembo wa miaka ile ya late 90's
0 Reactions
42 Replies
13K Views
Ni miaka kadhaa sasa huku mtaani kila nikipita pita sehemu tofauti nakutana na story tatanishi juu ya wasanii wa kike wa bongo movie Story yenyewe ni kuwa hawa wasanii wanauza papuchi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba tumpigie kura tuzozawatu Ingia hapa Www.tuzozawatu.com
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Back
Top Bottom