Hakika Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla tunajisifu sana na uwepo wako hata wale wasiofuatilia muziki kwa juhudi, uthubutu, kujituma, na heshima yako inatoa fundisho kubwa sana.
Huyu mtu...
Get ready, on Friday dis week mkali wenu wa Afro pop anadondosha new hit song.
Chanzo: Diamond Platnumz Twiter A/C
...Updates...
Wimbo tayari umetoka.
Mambo 10 kutoka kwenye wimbo UTANIPENDA...
ALIKIBA Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa's biggest stars and his name is steadily...
Katika talk show host ni nani anavuta hela ndefu kupita wote au wanalipwa vipi kwa mwezi?
1: Salama Jabir
2:Sporah
3:Mboni Masimba
Hao ndio naowajua mimi, ukiangalia wenzetu huku Marekani...
Leo wema kakutwa kajiungia umeme kwa nia ya kukwepa kulipa malipo halali,natumia fursa hii kumuomba zari amsaidie wema kulipia bili amgalau miezi mitatu ili wema asherwkee sikukuu kwenye mwanga...
Shilole anatarajia kusafiri kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake Nyan'ganyan'ga na Justin Campos. Shishi ameiambia Bongo5 kuwa wiki ijayo atasafiri kwaajili ya kwenda kufanya...
Ali kiba katoa nyimbo imebuma.
Christian Bella katoa nyimbo na Koffi imebuma.
Belle 9 katoa video kali na track mpya hakuna anaejali.
Wema Sepetu na JB wanakuja na movie mpya sio...
Habari zenu wakuu katika pitapita zangu kwenye instagram nimekumbana na hii picha ya mzee bruce jenner kwa jinsi alivuoharibika hii miguu ayse anajutia sasa
baada ya muda mrefu wa kusikilizishwa ngoma za uongo uongo za hip hop,makelele ya vichwa vya habari,vina vya kulazimisha,punch lines za kuunga unga,mistari ya kama kama mia tisa katika verse...
Sio punda wale wanaobeba mizigo ya kawaida???LA hasha,wanabeba mizigo kwa matumbo yao..tena wanapanda mpaka ndege hao punda,wapo na naamini watu wanawajua...mmoja huyu
Mimi ni...
Muda huu yuko live clouds amesema yeye anawasaidizi wake hivyo wao wata muwakilisha bali yeye atafanya kile kilicho kwenye hadhi yake tuu. My take majibu haya pia yawafikie wale watu wa ccm...
Wajua tena sisi mwezi huu tunakwenda nyumbani kwa ajili ya kukutana na familia zetu.
Juzi Nilipokuwa Dar nilikuwa nasikia matangazo Radio 5 FM...91.3 Dar kuwa Diamond atakiwasha Geneva of Africa...
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda...
@ GUYS SISTER NI MBONGO MWENZETU ANASHIDANIA KUWA BALOZI WA JET MAGAZINE ANAHITAJI KURA 5,000 BY KESHO PLEASE GO HERE:- .......https://miss.jetsetmag.com/vote-for/aicha-mosha .....SELECT STEP 1...
Habari zilizopatikana nchini kenya zinasema director wa video ya nagharamia iliyoshooting South Africa na mkenya Enok Olic ameamua kubaki na video hiyo kwasababu Christian Bella na Ali Kiba...
Diampond platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best male East Africa, Vanessa Mdee akiwania kipengele cha best female East Africa, Wakazi akiwania best hip hop , Yamoto Bendi wakiwania kipengele...
Kwa mujibu wa wakuu wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter wamesema, Katy Perry anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ambao ni 78.3 milioni, akifuatiwa na Justin Bieber - 70.5 milioni.
Wengine ni pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.