Mzee Yusufu alitaka kufanya Hip Hop

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Mtayarishaji wa muziki mkongwe Allan Mapigo anadai muimbaji nguli wa taarabu Mzee Yusufu alikua na mpango wa kufanya hip hop, lakini yeye akambadilisha mawazo kutokana na kuona anafaa zaidi kuimba mduara/taarabu.

Chanzo: Bongo5
 
Bora alivyombadisha maana huku tungempiga madole hatutaki uchoko
 
Huyo Jamaa wanasema ni NGAPULILA mbona ana wake wawili na wote wana wivu naye mbaya inakuwaje sasa?
 
Hata Zanzibar hiphop ipo, nimewahi kuskia mistari,"Masta J kaa chini nikupe skendo, karafuu yangu mwenyewe kuisafirisha naambiwa magendo". Halafu hiyo iweke kwenye ile rafudhi ya kipemba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom