Unazungumzia nn??????Nilikuwa nacheck mtv base kipindi chao cha verify nimeona ngoma ya nagharamia imepingwa.Naona jamaa baada ya lile shindano la face of tanzania kunakitu wamejifunza..
Andika taratibu bhana wengine hatukuelewi hatujui unazungumzia makitu gani
Ahaaa kumbe ilikuwa ni hivo basi sawa team kiba watakuwa wamefurah Ngoma yao kupigwa maana nasikia jamaa hapat airtime kama mwenziwe domondini hivi kuna siku mtv base kwenye twitter account yao waliwataka mashabiki wa Uganda,Kenya na Tanzania kuchangua msanii ambaye ni face wa kila inchi kula zikapingwa ndani ya masaa 24 kwa bongo alikiba alishinda kwa upande wa Tazania , but mashabiki wake wakaanza kulalamika kwann ngoma zake hazichezwi mtv base,,so leo nilipoona nagharamia imepigwa mtv base ndio maana nikasema kumbe mashabiki wananguvu sana wakiamua kumsupport msanii..
Mataaaa ako yakooo.... nenda mwambie aliekutuma promo huku hainaaaaa kick watu hawamwelew wala nn...mtvv hawana mbeleko kama huwez huwez
Hahaanagharamia mpaka BET, wANAIPIGA SANA!
Fan base ya kiba bongo ni kubwa sana. ..
kiba alipotoka na cinderella ay alikuwemo tayari kwa muda murefuKweli Ali Kiba anasafari ndefu sana ya kimafanikio ktk muziki kama leo hii mashabiki wake ndio wanafurahishwa na nyimbo ya msanii wao kupigwa MTV.Wakati yeye yupo ktk gemu zaidi ya miaka 13,huku wale waliokatika gemu kwa miaka 2 - 5 ( Vanessa,Ommy Dimpoz, Shettaz,Joh Makini,na A.Y bila kumsahau mwenye bongo fleva yake DIAMOND PLATNUMZ n.k) ni jambo la kawaida sana tena hadi katika chati wamo sasa sijui yeye akifikia hatua hiyo itakuwaje???
alikuwemo wapi mkuu?kiba alipotoka na cinderella ay alikuwemo tayari kwa muda murefu