Top 3 zako ni zipi

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
467
Nipunguze tu lepelepe nyiiingi.. NI hivi , kuna celebrities au celebs kwa wale wana swagga.. ambao una wakubali, una wapa respect yako kwa asilimia 100, Hawa kujui ila una waheshimu sana nakuwa wapa salute zako zote kwa jinsi lifestyle yao ilivyo ya kiheshima na yenye kuigwa kwa jamii husika..hapa naongelea ( wanamuziki,wana soka, watangazaji wa redio/ tv, fashion icons, wana riadha, waigizaji, wana siasa, public speakers, wana harakati, wanafanya biashara, na kadhalika )....

Sio mbaya ukitupia na Top 3 yako ya ma celebs usio wakubali wala kuwapa heshima na salute zako kwa sababu tu ya lifestyle yao yaki puuzi wanayo ishi...


Top 3 best celebs yangu

* Ay
* Millard Ayo
* K- lyn

Top 3 worst celebs yangu.

* Wema sepetu
* Shilole kiuno
* ( )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom