MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Miss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa kuangaliwa zaidi na shirika la umeme Tanzania mwaka 2016,habari kutoka ndani kabisa ya shirika hilo zinadai mwanadada huyo amelitia hasara kubwa sana shirika hilo tokea kuanzishwa kwake, ambapo Tanesco makao makuu wameamua kila siku asbuhi na jioni wanapita nyumbani kwa mnyange huyo kuangalia kama mita yake haijachezewa na vishoka ambapo pia wamedai kwamba sababu za mgao wa umeme kipindi cha nyuma Dar kilikuwa ni sababu ya matumizi mabaya ya umeme nyumbani kwa dada huyoo.
Naye mrembo huyo kuonesha kama kweli hatarudia tukio hilo ameamua kupunguza matumizi ya umeme hili kupunguza gharama ,ambapo ameuza AC zake zote na amenunua panga boy 3,ameongeza majiko mawili ya mkaa,amekataza watu kuangalia TV ovyo ovyo ambapo amewataka kuangalia habari na kipindi cha "IN MY SHOES" pekee,pia habari zinadai siku hizi huwa anaenda kwa Kadinda kupiga pasi
.
Mpaka tunaingia mitamboni miss huyo ambaye umri unazidi kumtupa mkono alikataa kuongea na sisi sababu alikuwa bize site na mafundi.
Kila la kheri la dada