ngalikikinakiki
Member
- Mar 29, 2011
- 55
- 19
MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya baadae na kuishi vizuri hata pale umaarufu utakapokwisha. Chukua kalamu anza kuulizia waliokuwa wakitamba zamani walikuwa akina nani, ndo utajua kuwa ni wengi, ma hiyo ndio njia inayokungoja. BE PREPARED, ishi na watu vizuri