Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,612
21,346
Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula burger saa nne na kutumia kengere za umeme kwenda mapumziko ,Tanganyika international school (TIS) kwa kipindi chote na huku kumfanya awe balozi wa shule hiyo lkn ubalozi huo kuwa siri mpaka mtoto atakapoanza shule.

Mtoto Tee anakuwa moja ya watoto wachache wasiotokana na familia za kifisadi kusoma shule yenye swimming pool lenye kiwango cha olympic.

Lkn habari zinadai wakina dada wanaopenda attention mjini Wema na Jokate baada ya kusikia habari hizi walijaribu kuzunguka shule kadhaa hapa town kuona kama na wao wanaweza kupata dili kama hilo kwa watoto wa king Kiba ili kwenda sambamba huku baadhi ya shule zikidai ubalozi wa Tembo unamtosha kabisa King huyo wa coke studio.

Inadaiwa pia Diamond ataenda Uganda next month kushoot video ya wimbo mpya ambao Zari ameimba kiitikio na dada yake Diamond amefanya intro

Chanzo: Wana familia
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kusema,unapotunga uongo utaumbuka tu!
Ndio yaliyomkuta mtoa mada.....
Na hiyo shule haina haja ya kujitangaza, eti sijui ubalozi au nini...

Wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza... Kama Diamond atampeleka hapo huyo mtoto basi atamlipia ada na si kwamba atamsomesha bure...

After all, Diamond is irrelevant kwa watu ambao wanapeleka watoto hapo... Sidhani kama Mengi, Manji, Mafuruki, Dewji, Mabalozi na Wafanyabiashara wakubwa hapa mjini watapeleka watoto hapo eti sababu tu Mtoto wa Diamond anasoma...
 
Back
Top Bottom