warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,425
Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wa Juma Nature alikuwa busy akipiga kitabu ambapo sasa hivi amegraduate postgraduate ya diplomasia.
Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamempongeza Sintah kwa uamuzi wake huo wa kurudi shule tofauti na wakongwe wenzie ambao miaka nenda rudi wapo vile vile.
Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamempongeza Sintah kwa uamuzi wake huo wa kurudi shule tofauti na wakongwe wenzie ambao miaka nenda rudi wapo vile vile.
Last edited by a moderator: