Utangazaji unalipa

Yeah, nakubali Jide ni another level, lakin kwa mkataba huu wa jamaa, hizi level zinaweza zikalingana hapa mjin (Mbeleni).

Kumbuka bado hatujui huo mshahara wake ni kias gan, na kumbuka pia jamaa yetu ana mashabik lukuki, so anaweza akafanya mambo makubwa zaidi..!!
Mbwembwe tu hawanaga lolote,blv me ulimbukeni unawasumbua
 
Matunzo ya huo mdubwana.Amuulize Dr. Kimei wa CRDB!.Dogo anatafuta show off.ambayo itagarimu pensheni yake.huu mdubwana kwa miaka miwili tu unaweza kula zaidi ya 20M kuutunza.kuna life ya uzeeni.ni kituko sana vijana wa leo kuishi kiusanii usaniii.Cjajua kama wazazi wake anawatunzaje.maana mara nyingi namwonaga na vibint vidogo .kwenye sehemu za starehe
 
Huyu jamaa yuko kama mtoto..cha ajabu ni mtu mzima..yaani Dar kuna wanaume wa ajabu kupata kutokea kwenye sayari hii
 
Yeah, nakubali Jide ni another level, lakin kwa mkataba huu wa jamaa, hizi level zinaweza zikalingana hapa mjin (Mbeleni).

Kumbuka bado hatujui huo mshahara wake ni kias gan, na kumbuka pia jamaa yetu ana mashabik lukuki, so anaweza akafanya mambo makubwa zaidi..!!
Hakuna kitu kaa hicho klauz.....wanawatumia km toilet paper......
 
Hiyo gari hata akilipwa mshahara wa 3m hawezi kuimudu.....disc 3 ni ghali ambayo spea zake ziko juu....service tu inakula 300000
 
Nipeni ujuzi. Discovery 3 zina niini. Manake huwa nayapenda sana haya magari (japo similiki hata baiskeli). Naona CMC WANA DISCOVERY 4. $ 82,000. HUWA NADATA TU KWA BEI. DISC 4 IS LIT KAMA RANGE TU
 
Discovery series zimekaa ki gentle. Zaidi tofauti na range rover hadi vitoto vya kike vinaendesha. Since nimezijua disc sijawahi kuona demu Oki endesha. Ni wanaume tu nashuudia
 
Nadhan hapa kuna ile vita ya Ruge na Jide chin kwa chin, kwahiyo huu mkataba ni salam kwa bint machozi, ili ajue kumtema jamaa sio issue tena..!!
Sidhani kama kuna issue ya Jide hapa! Unajua Gardner yupo kwenye media kitambo na ni mtu wa kujichanganya. Kutokana na hivyo, ana connection nyingi sana za advertisers. Kwahiyo linapokuja suala la deal la kupata matangazo, Gardner ni brand. Brand ya matangazo ndiyo inayohitajika kwenye media kwahiyo watu hawaoni taabu kutumia pesa kumvuta mtu kama Gardner. Hata Nyumbani Lounge wakati ule, kuna watu kibao walikuwa wanaenda kutokana na influence yake.
 
Back
Top Bottom