Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa! Kama hiyo haitoshi ona hii how hot is this man right now! Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake. Baby mwenyewe...
7 Reactions
114 Replies
28K Views
Msanii alikiba aka King Kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii Nuh Mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "Jike Shupa". Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo...
2 Reactions
25 Replies
13K Views
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao. Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Jamaa kweli katoka mbali! uploaded by John Kitime/youtube
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Ali Kiba ni Msanii anae kumbwa sana na kurushiwa Maneno kuwa ana Dharau sana! Hii inatokana na vitu anavyo fanya! Sina uhakika kama ni kweli anadharau au vipi Akiwa na Followers Million 1 huku...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - BBC News
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Jina lake halisi anaitwa Shawn Carter ingawa anafahamika zaidi na mashabiki wake kwa jina la Jay Z. Ni mwanamuziki mkubwa wa Hip Hop duniani, prodyuza na mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
MH,SUGU: Muite rais wa Mbeya,aka Sugu huyu ndo anaaminika kuwa mwanzilishi wa hip hop ya Tz,hitmaker huyu wa Haki,mikononi mwa polisi,aliwahi kuwaleta lost boyz,na pia aliwahi kutoa albamu yake...
4 Reactions
47 Replies
12K Views
wimbo mkali video kali. kweli unapomshirikisha Diamond hufanyi makosa. hii ni shida nyingine Africa. chek video hii
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wengi wanamfahamu kutokana na umahiri wake mkubwa katika medani ya muziki, utambulisho wake mkubwa ukiwa ni sauti yake nzito na ya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi kuhusu msanii huyu. 1...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa...
2 Reactions
36 Replies
18K Views
STAA wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amefunguka kuwa kutokana na tumbua majipu ya Rais John Magufuli, wale mapedeshee waliokuwa wakiwategemea ni kama wamepeperuka kwani...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
nimetokea kuvutiwa na mahojiano yake na gazeti la champion la jana huyu sallam meneja kiongozi wa diamod.naomba kwa anayemjua labda asili yake hustle zake mishe zingne tofauti na umeneja labda na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani kwa "Celebrities" Hasheem Thabit na F.Matata Nikiwa kama mwana JF mzoefu,niliyeanza kuperuzi JF mwanzoni mwa mwaka 2008 na baadae kuwa "member" rasmi miaka michache baadae sijawahi...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana"
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford, Siwema ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya. Ameweka Picha hiyo...
2 Reactions
34 Replies
13K Views
Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam. Akizungumza kupitia Segment...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Haya sasa Kumekucha, habari zimefichuka siri si siri tena. Baada ya Gigy Money kulalamika kwenye baadhi ya Media kuwa alilipwa sh. elfu 20 baada ya kuwa Video queen kwenye nyimbo ya Nay wa Mitego...
1 Reactions
135 Replies
50K Views
Back
Top Bottom