Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19

Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu zote.....Wakati akina dada wengine waki jimwaya mwaya Instagram na Facebook huku hawana Kazi yeye atakuwa anafanya kazi hiyo ambayo itakuwa inamuingizia pesa Nzuri tuu

Ni kazi ambayo haina ushindani hivyo ukiomba ni rahisi kupata

Kwa nijuavyo mimi kazi ya huyo dogo itakuwa kukusanya miili hiyo toka mawodini,ICU,na sehemu zingine za hospital na kuipeleka Mortuary,atakuwa anaisafisha kwa kuogesha miili hiyo,kuwatolea watu miili yao wanapo kuja kuichukua!

Haya sasa Ni wakati wa kina dada wengine kujifunza
93033faa983b488b31abf8019fb6047a.jpg
 
Baada ya kuolewa ataacha hyo kaz tu.
Ila hongera yake na kla la heri ktk kaz yake ya kuhifadh ndug zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom