Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Bandugu,
Kuna hii jingle ya Cocacola iliyofanywa na msanii Diamond Platnumz naisikia mara kwa mara kwenye vituo vya redio.
Ameimba kwa Kiswahili, sijakariri maneno ila yapo, 'Sikamatikiii.. nikionja msisimko.. hakuna cha kunishusha down..'' ambao pia una english version yake (sijui imeimbwa na nani)..
Sasa nina shida na hiyo ya Diamond, nimetokea kuipenda na nimeitafuta mitandaoni sikuipata. Naomba msaada kwa yeyote mwenye nayo au anayeweza kunisaidia namna ya kuipata anifahamishe.
Natanguliza shukrani..
================
MREJESHO:
English version
Mashairi: Diamond Platnumz - Taste the feeling
Nasikia raha
Moyo wangu unapoangaza tukiwa wawili
Ninayempenda sikatai ni wewe
Na hili joto Dar
Tupate ya baridi Coca tupozeshe na miili
Tuzidi furahi milele
Tena iwe hivi,
pamoja we na mi
milele tuwe free
Wajue kwamba….
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
Oh! tena furaha
Namshukuru Mola we kunipata mimi
Tujivinjari uko nami kwa ufukwe
Oh! tena bahari imejaa
Niongezee Coca-Cola nipige mbizi hadi chini
Tafadhali moyo wangu usiutupe
Tena iwe hivi,
pamoja we na mi
milele tuwe free
Wajue kwamba….
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha, down
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
Jua linapozama
Nyota zinazagaa
Shika nikushike mama
Tuzidi fika mbali
Tupate raha ya milele (raha ya milele.. )
Pamoja, mimi na wewe (mi nawe..)
Tupate raha ya milele
Pamoja, mimi na wewe
..Sikamatiki, nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
..Sikamatiki, nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down
Sikamatiki nikionja msisimko
Hakuna cha kunishusha down!

Asante sana mkuu kedrick na wengine wote. Nimeupata.
Nimefurahi sana kwa kweli.. Mungu awabariki kwa kweli. Tena nimeupata wote.. Kwa fadhila, naomba niuweke hapa ili wengine wanaouhitaji nao waupate kwa urahisi.
Long-live JF.