First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,311
- 1,475
Igweeeeee.....
Leo katika pitapita zangu nilisikia wimbo flani ulioimbwa na vijana waliovuma miaka ya nyuma, PNC, DOGO JANJA, CASSIM MGANGA, Z-ANTO na PINGU, kawimbo kalikuwa kanamsifia sana Ostaadh Juma na Musoma... nikakumbuka na tukio flani lililovuma magazetini na kwenye social networks kwamba PNC alikuwa akimpigia magoti na picha zilisambaa...
nikajiuliza huyu tajiri yuko wapi? mbona simsikii tena? au ndo kama yale ya akina mr nice, chid benz na akina dudu baya? kwa anaemfahamu huyu boss mtt wa Musoma ATUPE HABARI...