Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.
Source: PICHA 8: Mr Blue kafunga ndoa na mama watoto wake | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today